Umuhimu wa mazoezi katika afya ya akili

You are watching a 30-second preview. Subscribe for full access.
Total Watch Time: 0 seconds

Dr Swaumu Kimaro akielezea kuhusu umuhimu wa mazoezi katika afya ya akili
Mazoezi ya mwili yana umuhimu mkubwa katika afya ya akili. Wakati wa kufanya mazoezi, mwili hutoa kemikali za asili kama endorphins ambazo husaidia kuboresha hisia na kupunguza msongo wa mawazo.

Faida za mazoezi kwa afya ya akili
1. Kupunguza msongo wa mawazo (stress)

Mazoezi husaidia kupunguza kiwango cha homoni za msongo wa mawazo na kuifanya akili kuwa tulivu zaidi.

2. Kupunguza dalili za sonona (depression)...

Subscribe to continue reading this content.
Subscribe Now

Posted in: Afya ya Akili (Psychiatry)