Ugonjwa wa kuoza na kutoboka kwa meno

You are watching a 30-second preview. Subscribe for full access.
Total Watch Time: 0 seconds

Dr Mosile akielezea Ugonjwa wa kuoza na kutoboka kwa meno,
chanzo, namna ya kujikinga, muda sahihi wa kumuona daktari wa meno, namna sahihi ya kutumia vyakula vyenye sukari, aina ya sukari zisizo faa.
Ugonjwa wa kuoza na kutoboka meno (dental caries au tooth decay) ni hali ambapo sehemu ngumu za jino huharibiwa taratibu na bakteria wanaoishi mdomoni. Bakteria hawa hutumia sukari kutoka kwenye vyakula na vinywaji kutengeneza asidi inayoshambulia meno, na hatimaye husababisha matundu (mashimo) k...

Subscribe to continue reading this content.
Subscribe Now

Posted in: Meno (Dental)