Lishe bora kwa mtoto chini ya miezi sita
You are watching a 30-second preview. Subscribe for full access.
Total Watch Time: 0 seconds
Yohana E Yindi, Afisa lishe Kitete RRH Akielezea kuhusu Lishe bora kwa mtoto chini ya miezi sita.
Kwa mtoto chini ya miezi 6, lishe bora ni maziwa ya mama pekee (exclusive breastfeeding). Hii ndiyo lishe inayopendekezwa kwa watoto wote isipokuwa pale ambapo kuna sababu maalum za kitabibu.
Umuhimu wa maziwa ya mama pekee
Humpatia mtoto virutubisho vyote anavyohitaji kwa ukuaji na maendeleo.
Huimarisha kinga ya mwili na kupunguza hatari ya maambukizi kama kuhara na nimonia.
Husaidia ukuaji...
Subscribe to continue reading this content.
Subscribe Now
Posted in: Lishe na Chakula (Dietary Teachings)