Tatizo la usonji (Autism Spectrum Disorder (ASD))

You are watching a 30-second preview. Subscribe for full access.
Total Watch Time: 0 seconds

Leonard Makey (Occupational Therapist) akielezea kuhusu tatizo la Usonji.
Usonji ni hali ya ukuaji wa ubongo inayojulikana kitabibu kama Autism Spectrum Disorder. Hali hii huathiri jinsi mtu anavyowasiliana, kuhusiana na watu wengine, kujifunza, na kuonyesha tabia.

Usonji huanza utotoni, ingawa dalili zinaweza kutambuliwa katika umri tofauti. Si ugonjwa wa kuambukiza na hausababishwi na malezi mabaya.

Dalili za usonji

Dalili hutofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine, lakini zinaweza...

Subscribe to continue reading this content.
Subscribe Now

Posted in: Afya ya Akili (Psychiatry)