Madhara ya uvutaji sigara
You are watching a 30-second preview. Subscribe for full access.
Total Watch Time: 45 seconds
Dr Gregori Mkalawa akielezea kuhusu madhara ya uvutaji sigara.
Sigara ni bidhaa ya tumbaku inayovutwa kwa kuchomwa moto. Wakati sigara inawaka, hutengeneza moshi wenye maelfu ya kemikali ambazo huingia kwenye mapafu na kusambazwa mwilini kupitia damu.
Sigara hutengenezwa na nini?
Sehemu kuu ni:
• Tumbaku iliyokaushwa na kusindikwa
• Karatasi ya kufungia tumbaku
• Kichujio (filter) kwenye aina nyingi za sigara
• Viambato mbalimbali vya kuongeza ladha na kuhifadhi bidhaa
Baadhi ya kem...
Subscribe to continue reading this content.
Subscribe Now
Posted in: Magonjwa ya Ndani (Internal Medicine)