Lishe inayosaidia ubongo na kutunza kumbukumbu vizuri

You are watching a 30-second preview. Subscribe for full access.
Total Watch Time: 0 seconds

Yohana E Yindi, Afisa lishe Kitete RRH Akielezea kuhusu Lishe inayosaidia ubongo na kutunza kumbukumbu vizuri.
Lishe bora ina mchango mkubwa katika afya ya ubongo, kumbukumbu, umakini, na uwezo wa kujifunza. Hakuna chakula kimoja kinachoweza kuboresha kumbukumbu peke yake, lakini mlo wenye virutubisho mbalimbali husaidia ubongo kufanya kazi vizuri.

Vyakula vinavyosaidia afya ya ubongo
Samaki wenye mafuta
Mfano: Salmon, sardini, dagaa na mackerel.
Hutoa mafuta ya omega-3 ambayo husaidia uk...

Subscribe to continue reading this content.
Subscribe Now

Posted in: Lishe na Chakula (Dietary Teachings)